Hamia kwenye habari

Ugiriki

 

2019-01-14

UGIRIKI

Kukumbuka Pambano la Miaka 50 la Kutafuta Uhuru wa Kuhubiri

Mwaka wa 1993, Minos Kokkinakis alishinda pambano la kisheria la miaka 50 la kutaka uhuru wa kuwahubiria wengine imani yake, hiyo ilikuwa mara ya kwanza kwa ECHR kusema kwamba nchi imekiuka uhuru wa kidini.

2014-11-13

UGIRIKI

Habari Kuhusu Kusanyiko la Kimataifa: Mashahidi wa Yehova Wakusanyika Katika Uwanja wa Olympic Nchini Ugiriki

Kusanyiko la Kimataifa la “Endeleeni Kuutafuta Kwanza Ufalme wa Mungu!” lilifanywa katika uwanja wa michezo wa Olympic Athletic Center jijini Athens, mahali ambapo Michezo ya Olimpiki ya mwaka wa 2004 ilifanyiwa.