Hamia kwenye habari

URUSI

Matukio Muhimu Kihistoria Nchini Urusi

Matukio Muhimu Kihistoria Nchini Urusi
  1. MEI 5, 2018—Mahakama ya Jiji la St Petersburg City iliunga mkono uamuzi wa serikali wa kutaifisha Kituo cha Usimamizi cha Mashahidi wa Yehova

    SOMA ZAIDI

  2. JULAI 17, 2017—Mahakama Kuu ya Rufaa ya Shirikisho la Urusi iliunga mkono uamuzi wa mahakama wa Aprili 20. Ibada ya Mashahidi wa Yehova ikapigwa marufuku katika nchi nzima

    SOMA ZAIDI

  3. APRILI 20, 2017—Mahakama Kuu ya Shirikisho la Urusi ilitoa uamuzi wa kufanya utendaji wa Mashahidi wa Yehova uwe kosa la jinai nchini Urusi

    SOMA ZAIDI

  4. NOVEMBA 30, 2015—Mashahidi wote kumi na sita ambao kesi yao ilisikilizwa upya katika jiji la Taganrog walihukumiwa kuwa na hatia kwa sababu ya imani yao. Hakimu aliahirisha hukumu zao za gerezani

    SOMA ZAIDI

  5. DESEMBA 2, 2014—Mahakama Kuu ya Shirikisho la Urusi ilipiga marufuku jw.org

    SOMA ZAIDI

  6. JULAI 30, 2014—Mashahidi saba kati ya Mashahidi kumi na sita walihukumiwa na mahakama ya Taganrog kuwa wahalifu kwa sababu ya imani yao

    SOMA ZAIDI

  7. JUNI 10, 2010—Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu ilitangaza kwamba Mashahidi wa Yehova wa Moscow wamepigwa marufuku kinyume cha haki za kibinadamu

  8. SEPTEMBA 11, 2009—Mahakama ya Mkoa wa Rostov ilitangaza kwamba machapisho 34 yanayochapishwa na Mashahidi wa Yehova kuwa yenye msimamo mkali

  9. 2009—Maofisa wa polisi walianza kutumia vibaya Sheria ya Shirikisho la Kupambana na Shughuli Zenye Msimamo Mkali

  10. MACHI 26, 2004—Mashahidi wa Yehova wa Moscow walipigwa marufuku

  11. MACHI 1996—Tangazo latolewa kwamba Mashahidi wa Yehova wamekuwa wakikandamizwa isivyo haki kwa sababu za kisiasa

  12. DESEMBA 11, 1992—Shirikisho la Urusi lilisajili Mashahidi wa Yehova kisheria

  13. MACHI 27, 1991—Muungano wa Sovieti ilisajili Mashahidi wa Yehova kisheria

  14. OKTOBA 1965—Vizuizi viliyowekwa na serikali vilianza kupunguzwa na pia ukandamizaji ulianza kupungua

  15. APRILI 1951—Mashahidi 9,500 hivi kutoka katika jamhuri mbalimbali za Sovieti walipelekwa uhamishoni Siberia

  16. 1928—Mashahidi wa Yehova hawakufaulu kupata usajili wa kisheria; mwanzo wa miaka mingi ya mateso

  17. 1891—Shahidi wa kwanza Mrusi alipelekwa uhamishoni Siberia

  18. 1887—Rekodi ya gazeti la kwanza la Mnara wa Mlinzi kutumwa nchini Urusi