Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

WIMBO NA. 121

Tunahitaji Sifa ya Kujizuia

Tunahitaji Sifa ya Kujizuia

(Waroma 7:14-25)

  1. 1. Yehova kwa moyo twakupenda;

    Hata hivyo sisi dhambi twatenda.

    Ya kimwili tusikazie.

    Ya kiroho tuzingatie.

  2. 2. Twajaribiwa naye Shetani.

    Na sheria ya dhambi imo ndani.

    Neno Lako linatulinda.

    Tuna hakika tutashinda.

  3. 3. Kwa neno na tendo tukusifu,

    Jina lako kuu tusikashifu.

    Mambo yote tuzingatie.

    Sikuzote tujizuie.