Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Burkina Faso

  • Manga, Burkina Faso​—Kutoa ushahidi wakati wa mavuno ya pamba

Taarifa Fupi—Burkina Faso

  • 22,721,000—Idadi
  • 1,986—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 50—Makutaniko
  • 1 kwa 12,470—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO

Walijitoa Wenyewe kwa Hiari—Afrika Magharibi

Ni nini kilichowachochea baadhi ya watu kutoka Ulaya kuhamia Afrika Magharibi na wamenufaika jinsi gani?

MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO

Kumkaribia Mungu Ni Kwema Kwangu

Alipokuwa na umri wa miaka tisa, Sarah Maiga aliacha kukua kimwili, lakini aliendelea kukua kiroho.