Taarifa Fupi—Kroatia
- 4,038,000—Idadi
- 4,687—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
- 57—Makutaniko
- 1 kwa 870—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini
TAARIFA ZA HABARI
Tetemeko Kubwa la Ardhi Lapiga Kroatia
TAARIFA ZA HABARI
Mashahidi Wapata Itikio Zuri Katika Maonyesho ya Kimataifa ya Vitabu
Mashahidi wa Yehova walishiriki katika maonyesho bora zaidi ya kibiashara nchini Kroatia, ya Interliber 37th International Book and Teaching Appliances Fair, Novemba 11-16, 2014.