Taarifa Fupi—Nepal
- 29,165,000—Idadi
- 2,823—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
- 43—Makutaniko
- 1 kwa 10,465—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini
AMKENI!
“Upendo Wao Ulitugusa Moyo Sana”
Jumamosi, Aprili 25, 2015, tetemeko kubwa sana lilitikisa nchi ya Nepal. Baada ya tetemeko hilo, Mashahidi wa Yehova walionyesha kwamba Wakristo wa kweli wana upendo na wanatoa msaada unaohitajika
TAARIFA ZA HABARI
Mashahidi wa Yehova kutoka Nchi Mbalimbali Wanasaidia Waathiriwa wa Tetemeko la Ardhi Nchini Nepal
Mashahidi wa Yehova kutoka nchi sita wakishirikiana na Halmashauri ya Kutoa Msaada ya Nepal, wanaendelea kutoa msaada wa kimwili, kihisia, na kiroho kwa waathiriwa wa tetemeko la ardhi.
MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO
Walijitoa Wenyewe kwa Hiari
Dada wengi ambao wametumikia kwenye nchi za kigeni, mwanzoni walikuwa na shaka kuhusu kuhamia huko. Walipataje ujasiri? Wamejifunza nini kutokana na utumishi wao katika nchi ya kigeni?