AMKENI! Desemba 2014 | Mambo Unayopaswa Kujua Kuhusu Magonjwa ya Akili

Magonjwa ya akili yanaweza kumfanya mtu ashindwe kabisa kutimiza majukumu yake maishani, hata hivyo watu wengi wanaougua magonjwa hayo hawapati matibabu. Kwa nini?

HABARI KUU

Mambo Unayopaswa Kujua Kuhusu Magonjwa ya Akili

Mambo tisa yatakayokusaidia ufanikiwe kushughulika na magonjwa ya akili.

Kuutazama Ulimwengu

Habari zinatia ndani: mnyama aliyeishi muda mrefu zaidi, ziwa maarufu linalokaribia kukauka, na mwezi ambao watu wengi hupatwa na mshtuko wa moyo.

KUTOKA KWA WASOMAJI WETU

Jinsi ya Kufikia Makubaliano

Mambo manne muhimu yatakayokusaidia wewe na mwenzi wako wa ndoa mwepuke kubishana na mtafute suluhisho pamoja.

Mwili Mdogo—Macho Makubwa!

Jicho lake moja tu ni kubwa kuliko ubongo wake!

MAHOJIANO

Profesa wa Uhasibu Anaeleza kwa Nini Anamwamini Mungu

Profesa Stephen Taylor anaamini kwamba kujifunza Biblia ndiyo akiba bora zaidi aliyowahi kujiwekea.

MAONI YA BIBLIA

Dunia

Je, dunia itaharibiwa?

Fahirisi ya Mwaka wa 2014 Amkeni!

Orodha ya makala zilizochapishwa mwaka 2014.