Mashahidi wa Yehova Ulimwenguni Pote

Ugiriki

  • Monastiraki Square, Athens, Ugiriki—Kutoa gazeti la Amkeni!

Taarifa Fupi—Ugiriki

  • 10,482,000—Idadi
  • 27,759—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 345—Makutaniko
  • 1 kwa 379—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

TAARIFA ZA HABARI

Kukumbuka Pambano la Miaka 50 la Kutafuta Uhuru wa Kuhubiri

Mwaka wa 1993, Minos Kokkinakis alishinda pambano la kisheria la miaka 50 la kutaka uhuru wa kuwahubiria wengine imani yake, hiyo ilikuwa mara ya kwanza kwa ECHR kusema kwamba nchi imekiuka uhuru wa kidini.

MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO

Nimeazimia Kuwa Askari-Jeshi wa Kristo

Demetrius Psarras alifungwa gerezani kwa kukataa kujiunga na jeshi. Hata hivyo, aliendelea kumsifu Mungu hata alipokabili majaribu makali yaliyofuata.