Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

B14-B

Pesa na Uzito

Pesa na Uzito Katika Maandiko ya Kiebrania

Gera (1⁄20 ya shekeli)

gramu 0.57

gera 10 = beka 1

Beka

gramu 5.7

beka 2 = shekeli 1

Pimu

gramu 7.8

pimu 1 = 2⁄3 ya shekeli

Uzito wa Shekeli

Shekeli

gramu 11.4

shekeli 50 = mina 1

Mina

gramu 570

mina 60 = talanta 1

Talanta

kilogramu 34.2

Dariki (ya Uajemi, dhahabu)

gramu 8.4

Ezra 8:27

Pesa na Uzito Katika Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo

Leptoni (ya Kiyahudi, shaba au shaba nyekundu)

1⁄2 kwadrani

Luka 21:2

Kwadrani (ya Kiroma, shaba au shaba nyekundu)

leptoni 2

Mathayo 5:26

Asarioni (ya Kiroma na ya mikoani, shaba au shaba nyekundu)

kwadrante 4

Mathayo 10:29

Dinari (ya Kiroma, fedha)

kwadrante 64

gramu 3.85

Mathayo 20:10

= Mshahara wa Siku 1 (saa 12)

Drakma (ya Ugiriki, fedha)

gramu 3.4

Luka 15:8

= Mshahara wa Siku 1 (saa 12)

Didrakma (ya Ugiriki, fedha)

drakma 2

gramu 6.8

Mathayo 17:24

= Mshahara wa Siku 2

Tetradrakma ya Antiokia

Tetradrakma ya Tiro (Shekeli ya fedha ya Tiro)

Tetradrakma (ya Ugiriki, fedha; pia iliitwa stateri ya fedha)

drakma 4

gramu 13.6

Mathayo 17:27

= Mshahara wa Siku 4

Mina

drakma 100

gramu 340

Luka 19:13

= mshahara wa siku 100 hivi

Talanta

mina 60

kilogramu 20.4

Mathayo 18:24

Ufunuo 16:21

= mshahara wa miaka 20 hivi

Pauni au Ratili (ya Kiroma)

gramu 327

Yohana 12:3

“Ratili moja ya mafuta yenye marashi, nardo halisi”