Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

B5

Hema la Ibada na Kuhani Mkuu

Sehemu za Hema la Ibada

  1. 1 Sanduku la Agano (Kut 25:10-22; 26:33)

  2. 2 Pazia (Kut 26:31-33)

  3. 3 Nguzo za Pazia (Kut 26:31, 32)

  4. 4 Patakatifu (Kut 26:33)

  5. 5 Patakatifu Zaidi (Kut 26:33)

  6. 6 Pazia (Kut 26:36)

  7. 7 Nguzo za Pazia (Kut 26:37)

  8. 8 Vikalio vya Shaba (Kut 26:37)

  9. 9 Madhabahu ya Uvumba (Kut 30:1-6)

  10. 10 Meza ya Mikate ya Wonyesho (Kut 25:23-30; 26:35)

  11. 11 Kinara cha Taa (Kut 25:31-40; 26:35)

  12. 12 Kitambaa cha Hema cha Kitani (Kut 26:1-6)

  13. 13 Kitambaa cha Hema cha Manyoya ya Mbuzi (Kut 26:7-13)

  14. 14 Kitambaa cha Ngozi za Kondoo Dume (Kut 26:14)

  15. 15 Kifuniko cha Ngozi za Sili (Kut 26:14)

  16. 16 Kiunzi cha Mbao (Kut 26:15-18, 29)

  17. 17 Kikalio cha Fedha Chini ya Kiunzi (Kut 26:19-21)

  18. 18 Ufito (Kut 26:26-29)

  19. 19 Kikalio cha Fedha (Kut 26:32)

  20. 20 Beseni la Shaba (Kut 30:18-21)

  21. 21 Madhabahu ya Dhabihu ya Kuteketezwa (Kut 27:1-8)

  22. 22 Ua (Kut 27:17, 18)

  23. 23 Mlango (Kut 27:16)

  24. 24 Mapazia ya Kitani Yaliyoning’inia (Kut 27:9-15)

Kuhani Mkuu

Kutoka sura ya 28 inafafanua kwa kina mavazi ya kuhani mkuu wa Israeli