Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

B8

Hekalu Lililojengwa na Sulemani

  1. Sehemu za Hekalu

  2. 1 Patakatifu Zaidi (1Fa 6:16, 20)

  3. 2 Patakatifu (2Nya 5:9)

  4. 3 Vyumba vya Darini (1Nya 28:11)

  5. 4 Vyumba vya Pembeni (1Fa 6:5, 6, 10)

  6. 5 Yakini (1Fa 7:21; 2Nya 3:17)

  7. 6 Boazi (1Fa 7:21; 2Nya 3:17)

  8. 7 Ukumbi (1Fa 6:3; 2Nya 3:4) (Kimo hakijulikani)

  9. 8 Madhabahu ya Shaba (2Nya 4:1)

  10. 9 Jukwaa la Shaba (2Nya 6:13)

  11. 10 Ua wa Ndani (1Fa 6:36)

  12. 11 Bahari ya Madini Yaliyoyeyushwa (1Fa 7:23)

  13. 12 Magari (1Fa 7:27)

  14. 13 Mlango wa Pembeni (1Fa 6:8)

  15. 14 Vyumba vya Kulia Chakula (1Nya 28:12)