Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Barua kwa Waebrania

Sura

1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13

Muhtasari wa Yaliyomo

  • 1

    • Mungu azungumza kupitia Mwana wake (1-4)

    • Mwana ni mkuu kuliko malaika (5-14)

  • 2

    • Kazia uangalifu zaidi kuliko ilivyo kawaida (1-4)

    • Vitu vyote vimetiishwa kwa Yesu (5-9)

    • Yesu na ndugu zake (10-18)

      • Wakili Mkuu wa wokovu wao (10)

      • Kuhani mkuu mwenye rehema (17)

  • 3

    • Yesu ni mkuu kuliko Musa (1-6)

      • Vitu vyote vilitengenezwa na Mungu (4)

    • Onyo dhidi ya kukosa imani (7-19)

      • “Leo ikiwa mtaisikiliza sauti yake” (7, 15)

  • 4

    • Hatari ya kutoingia katika pumziko la Mungu (1-10)

    • Himizo la kuingia katika pumziko la Mungu (11-13)

      • Neno la Mungu liko hai (12)

    • Yesu, kuhani mkuu aliye bora (14-16)

  • 5

    • Yesu ni mkuu kuliko makuhani wakuu wanadamu (1-10)

      • Kwa mfano wa Melkizedeki (6, 10)

      • Alijifunza utii kutokana na mateso (8)

      • Ana daraka la kuleta wokovu wa milele (9)

    • Onyo dhidi ya kukosa ukomavu (11-14)

  • 6

    • Kusonga mbele kuelekea ukomavu (1-3)

    • Wale wanaoanguka wanamtundika tena Mwana kwenye mti (4-8)

    • Fanyeni tumaini lenu kuwa hakika (9-12)

    • Uhakika wa ahadi ya Mungu (13-20)

      • Ahadi na kiapo cha Mungu havibadiliki (17, 18)

  • 7

    • Melkizedeki, mfalme na kuhani wa pekee (1-10)

    • Ubora wa ukuhani wa Kristo (11-28)

      • Kristo anaweza kuokoa kikamili (25)

  • 8

    • Maskani iliwakilisha vitu vya mbinguni (1-6)

    • Tofauti kati ya agano la kale na agano jipya (7-13)

  • 9

    • Utumishi mtakatifu katika hekalu la duniani (1-10)

    • Kristo aingia mbinguni akiwa na damu yake (11-28)

      • Mpatanishi wa agano jipya (15)

  • 10

    • Dhabihu za wanyama haziwezi kuondoa dhambi (1-4)

      • Sheria ni kivuli (1)

    • Dhabihu ya Kristo ilitolewa mara moja kwa wakati wote (5-18)

    • Njia mpya ya kuingia yenye uzima (19-25)

      • Tusiache kukutana pamoja (24, 25)

    • Onyo dhidi ya dhambi ya kimakusudi (26-31)

    • Uhakika na imani ili kuvumilia (32-39)

  • 11

    • Maana ya imani (1, 2)

    • Mifano ya imani (3-40)

      • Haiwezekani kumpendeza Mungu bila imani (6)

  • 12

    • Yesu, Mkamilishaji wa imani yetu (1-3)

      • Wingu kubwa la mashahidi (1)

    • Usiipuuze nidhamu ya Yehova (4-11)

    • Fanyia miguu yako mapito yaliyonyooka (12-17)

    • Kukaribia Yerusalemu la mbinguni (18-29)

  • 13

    • Himizo na salamu za kumalizia (1-25)

      • Msisahau kuwakaribisha wageni (2)

      • Ndoa na iheshimiwe (4)

      • Watiini wale wanaoongoza (7, 17)

      • Kutoa dhabihu ya sifa (15, 16)